Mtunzi: Simon K. Muchemi
> Mfahamu Zaidi Simon K. Muchemi
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Simon Muchemi
Umepakuliwa mara 288 | Umetazamwa mara 1,089
Download Nota Download Midi1. Tumealikwa kwa neno la Mungu
( Bwana nena nami natega sikio Bwana nena nami nikusikilize Bwana)
2. Latuongoza Neno lake Mungu
3. Latubariki Neno lake Mungu
4. Latufariji Neno lake Mungu
5. Launganisha Neno lake Mungu