Mtunzi: Paschal Florian Mwarabu
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Florian Mwarabu
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Juma Kuu | Kwaresma | Matawi | Mazishi
Umepakiwa na: Vitus Chigogolo
Umepakuliwa mara 8,945 | Umetazamwa mara 17,137
Download NotaBwana ni kinga na ngome yangu
Bwana ni mwamba na ngao yangu
Katika shida nisaidie katika taabu unioko, ni wewe uliye mlinzi wangu x2
1. Katika hofu unitulize Ee Bwana wangu, Ee Mungu wangu
Shetani mwovu asinishinde nilinde Bwana nisipotee
2. Pasipo wewe niko dhaifu pasipo wewe sifai kitu
Nilinde Bwana nikinge Bwana nisianguke katika dhambi
3. Unipe nguvu Ee Mungu wangu unipe nguvu niwe imara
Unijalie rehema zako unijalie fadhili zako