Mtunzi: Frt. One
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. One
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 938 | Umetazamwa mara 2,613
Download Nota Download MidiBwana ni mfalme amejivika taji x2
1. a) Bwana ametamalaki amejivika adhama
b) Bwana amejivika amejivika adhama na kujikaza nguvu
2. a) Ulimwengu umethibitika naam usitikisike,
b) Kiti chako kimekuwa thabiti, naam usitikisike, to.... kea za... ma...ni