Mtunzi: Angelo Damiano (Muna)
> Tazama Nyimbo nyingine za Angelo Damiano (Muna)
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: ANNORD MWAPINGA
Umepakuliwa mara 459 | Umetazamwa mara 2,354
Download Nota Download MidiBwana ni mfalme amejivika taji atawa bariki watu wake kwa amani x2
1. Atawala duniani na mbinguni toka misho hata pande za dunia
2. Na wafalme wote watamuabudia mataifa yote yatamuabudia