Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Mafundisho / Tafakari | Zaburi | Matawi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 3,300 | Umetazamwa mara 7,122
Download Nota Download MidiBwana ni Mflame, Bwana ni Mfalme amejivika taji, Bwana ni mfalme amejivika taji x 2.
1. Bwana a metamalaki, amejivika adhama bwana amejivika adhama na kujikaza nguvu.
2. Naam ulimwengu umedhibitika usitikisike, kiti chako kimekuwa dhabiti tokea zamani.
3. Shuhuda zako ni amini sana, utakatifu ndio uifaa nyumba yako.
4. Wewe ndiwe uliye tangu milele, Ee Bwana milele na milele.