Ingia / Jisajili

Bwana Ni Mfalme

Mtunzi: Filbert Thoy
> Mfahamu Zaidi Filbert Thoy
> Tazama Nyimbo nyingine za Filbert Thoy

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Mwanzo

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 847 | Umetazamwa mara 2,483

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

IPULI-TABORA

DOM YA KRISTO MFALME

19.NOV,2012

FILBERT THOY

Bwana ni Mfalme amejivika taji Bwana amejivika taji amejivika taji x 2

Bwana amejivika taji Bwana amejivika taji amejivika taji Bwana ni Mfalme x 2

1. Bwana ameletamalaki amejivika adhama bwana amejivika na kujikaza nguvu

2. Naam ulimwewngu umethibitika wala usitikisike kiti chako kimekuwa thabiti tokea zamani

3. Shuhuda zako ni amini sana utakatifu ndio ufaao ndani ya nyumba yako Bwana milele na milele


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa