Mtunzi: Msanga H. J.
> Mfahamu Zaidi Msanga H. J.
> Tazama Nyimbo nyingine za Msanga H. J.
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: HIERONIMUS MSANGA
Umepakuliwa mara 946 | Umetazamwa mara 2,652
Download Nota Download MidiBwana ni nani atakae kaa katika hema yako*2 ni nani atakaye fanya maskani yake katika hema yako*2
Mashairi
1. Ni yeye aendaye kwa, ukamilifu, na kutenda mambo kwa watu, waadilifu.
2.Asemaye kweli kwa moyo, kwa moyo wake,asiye singizia kwa uli, ulimi wake.
3.Mtu atendaye mambo,mambo hayo, hata ondoshwa milele, milele yote.