Ingia / Jisajili

Bwana Ni Nguvu Za Watu Wake

Mtunzi: Frt. Emilian Mahinya
> Mfahamu Zaidi Frt. Emilian Mahinya
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Emilian Mahinya

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Emilian Mahinya

Umepakuliwa mara 267 | Umetazamwa mara 440

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana ni nguvu za watu wake, naye ni ngome ya wokovu kwa Masiya wake×2 1. Uwaokoe watu wako, uubariki urithi wako. 2. Uwachunge watu wako, uwachukue milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa