Ingia / Jisajili

Bwana Ni Nguvu Za Watu Wake

Mtunzi: Augustino Vedasto
> Mfahamu Zaidi Augustino Vedasto
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustino Vedasto

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Augustino Vedasto

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 5

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 12 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana ni nguvu za watu wake, naye ni ngome ya wokovu kwa Kristo wake X2 MASHAIRI 1. Uwaokoe watu wako uwabariki, urithi wake, uwachunge uwachukue milele. 2. Tegemeo la moyo wangu liko kwa Bwana, amenisaidia, nami nitashangilia kwa moyo wote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa