Mtunzi: Daud T. Fransisco
> Mfahamu Zaidi Daud T. Fransisco
> Tazama Nyimbo nyingine za Daud T. Fransisco
Makundi Nyimbo: Misa | Mwanzo
Umepakiwa na: Daud Fransisco
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 12 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 12 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 12 Mwaka C
Bwana ni nguvu za watu wake, bwana ni nguvu nguvu za watu wake naye ni ng'ombe ya wokovu kwa masiha wake. (Uwaokoe watu wako uubariki urithi wako, uwachunge uwachukue milele)×2