Ingia / Jisajili

Bwana Ni Nguvu

Mtunzi: France Kihombo
> Mfahamu Zaidi France Kihombo
> Tazama Nyimbo nyingine za France Kihombo

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: France Kihombo

Umepakuliwa mara 1,173 | Umetazamwa mara 3,180

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana ni nguvu ni nguvu kwa watu wake naye ni ngome (ya wokovu) kwa Kristo wake x 2

  1. Uwaokoe watu wako uwabariki urithi wako, uwachukue milele na uwachukue milele.
     
  2. Ee Bwana mimi nitakuita wewe uliye mwamba wangu, ee Bwana wala usiwe kwangu kama kiziwi 

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa