Ingia / Jisajili

Bwana Ni Nuru Yangu

Mtunzi: Ndaka A
> Mfahamu Zaidi Ndaka A
> Tazama Nyimbo nyingine za Ndaka A

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Aloyce Ndaka

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 10 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 10 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 10 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu nimwogope nani ×2 Bwana ni ngome ya uzima wangu nimhofu nani × 2. SHAIRI 1. Watesi wangu na adui zangu walijikwaa wakaanguka, Jeshi lijapo pigana nami moyo wangu hautaogopa.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa