Ingia / Jisajili

Bwana Ni Nuru

Mtunzi: Deogratias Mhumbira
> Mfahamu Zaidi Deogratias Mhumbira
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Mhumbira

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 5,986 | Umetazamwa mara 12,249

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 10 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 10 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 10 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Bwana ni nuru yangu, na wokovu wangu, nimwogope nani, Bwana ni ngome ya uzima wangu, nimhofu nani x 2

Mashairi:

 1. Watesi wangu na adui zangu, walijikwaa wakaanguka,
  Jeshi lijapokupigana nami, moyo wangu hautaogopa
   
 2. Vita vijaponitokea hata hapo nitatumaini,
  Neno moja nalitaka kwa Bwana, nalo ndilo nitalitafuta
   
 3. Nikae nyumbani kwa Bwana, siku zote za maisha yangu
  Niutazame uzuri wa Bwana nakutafakari, hekaluni mwake


Maoni - Toa Maoni

Charles swai Jan 06, 2018
Hongera broo

Nicolaus Shabate Sep 16, 2017
nampongeza mtunz wa wimbo huu deogratias mhumbira mungu amjalie maisha marefu kuendeleza utume wake wa kuitangaza neno la mungu wimbo inatufundisha kuwa bwana ndy nuru katika maisha yetu

shabani Aug 26, 2016
Pongeza

shabani Aug 26, 2016
Pongeza

Toa Maoni yako hapa