Mtunzi: A. O. Gama
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 2,010 | Umetazamwa mara 4,267
Download Nota Download MidiA .O. GAMA
Bwana nimeamua mimi kufanya kazi yako
(Naingia shambani shambani mwako Bwana, nijalie Bwana, nivune mavuno vema.) X2
1. Enyi malaika, nawasihi muwe tayari kunisindikiza mimi, (ha)hadi shambani.
2. Lakini nasema, kazi ya kuvuna mavuno hiyo si yangu mimi, (ba)bali mwenyezi.
3. Mimi mwanao nitafanya kazi yako, nijalie upendo uvumilivu, na pia uaminifu. Nijalie upendo, uvumilivu na pia uaminifu