Ingia / Jisajili

Bwana Nipokee

Mtunzi: Witty Selig Ngahi
> Tazama Nyimbo nyingine za Witty Selig Ngahi

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Joseph Isaya Mwakapila

Umepakuliwa mara 494 | Umetazamwa mara 1,786

Download Nota
Maneno ya wimbo

Kiitikio; Bwana naja kwako, unipokee. Niwe chombo bora, kwa watu wote.

                Kwa upendo mkubwa nitakwenda Shambani,

Kuchunga kondoo Ee Bwana nipe nguvu, mimi nikutumikie.

  1. Japo mimi ni mdhaifu Bwana wewe wajua, unitume, Bwana nikutumikie.
  2. Wito huu Bwana na uwe kwangu msalaba wa kweli, niubebe, Bwana mpaka nije kwako.
  3. Najua Bwana magumu mengi mimi yatanipata, lakini, nakuja kukutumikia.
  4. Mwisho Bwana nami nifike kwako kwenye utakatifu, nipokee, kwako Bwana niwe wako.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa