Ingia / Jisajili

Bwana Pokea Sadaka

Mtunzi: Eric Mwaniki FRANCIS, S.J.
> Mfahamu Zaidi Eric Mwaniki FRANCIS, S.J.
> Tazama Nyimbo nyingine za Eric Mwaniki FRANCIS, S.J.

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Eric Mwaniki

Umepakuliwa mara 83 | Umetazamwa mara 185

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana Pokea Sadaka Bwana pokea sadaka mikononi mwako, ikupendeze ninakuomba *2 1. Kwa sifa na utukufu wa jina lako 2. Kwa manufaa yetu sisi na ya kanisa 3. Itupatanishe nawe kikamilifu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa