Ingia / Jisajili

Bwana Ulitafakari Agano

Mtunzi: Frt. Arnold L. Furaha (Alafu Chada)
> Mfahamu Zaidi Frt. Arnold L. Furaha (Alafu Chada)
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Arnold L. Furaha (Alafu Chada)

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Arnold Furaha

Umepakuliwa mara 647 | Umetazamwa mara 1,306

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

BWANA ULITAFAKARI AGANO

Bwana ulitafakari agano x2. Ewe Bwana usisahau uhai wa watu wako walioonewa x2.

1. Ee Mungu usimame ujitetee, Ee Bwana usisahau sauti ya watesi wako.

2. Ee Bwana kwanini sisi umetutupa? Ni kwanini umesimama mbali na sisi Ee Bwana?


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa