Ingia / Jisajili

BWANA UTUINULIE NURU YA USO WAKO (Zaburi 4)

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 973 | Umetazamwa mara 2,361

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BWANA UTUINULIE NURU YA USO WAKO Kiitikio: Bwana(Utuinulie)Bwana(Utuinulie)Bwana, Bwana utuinulie nuru ya uso wako: utuinulie nuru ya uso wako Bwana utuinulie nuru ya uso wako. 1.Ee Mungu wa haki yangu uniitikie niitapo; umenifanyizia nafasi wakati wa shida;unifadhili na kuisikia sala yangu. 2.Bali jueni ya kuwa Bwana amejiteulia mtauwa; Bwana atasikia nimwitapo. 3.Wengi husema nani atakayetuonyesha wema? Bwana utuinulie nuru ya uso wako. 4.Katika amani nitajilaza na kupatausingizi mara, maana wewe Bwana peke yako ndiwe unijuliaye kukaa salama.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa