Ingia / Jisajili

Bwana Yesu Alipokwisha Kula

Mtunzi: Hajulikani
> Tazama Nyimbo nyingine za Hajulikani

Makundi Nyimbo: Juma Kuu

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 6,843 | Umetazamwa mara 12,411

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja, na wafuasi wake aliwaosha miguu yao x 2

  1. Bwana Yesu alipokwisha kula na wafuasi wake, aliwaosha miguu.
  2. Akasema, "Mwafahamu niliyowatendea, Mimi niliye Bwana na Mwalimu wenu".
  3. Nimewapa mfano, ili mtende nanyi vile vile.

Maoni - Toa Maoni

Bruno Myinga Mar 03, 2024
Tahadhari Futa huu Wimbo harmony Ina Makosa Sana pia Wimbo sio traditional ni WA Fr Kayetta

fidelis matemu Apr 08, 2017
Nzuri sana nyimbo nimezipenda

Rogers justinian Mar 14, 2017
Wimbo huu 1. Mtunzi ni Fr kayetta 2. Muafaka (harmonization) umekosewa kabisa!!! Tafadhali angalia upo katika kitabu cha Nyimbo za Liturjia (TEC) au kitabu cha zamani cha Njombe.

Toa Maoni yako hapa