Mtunzi: Given Mtove
> Mfahamu Zaidi Given Mtove
> Tazama Nyimbo nyingine za Given Mtove
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Given Mtove
Umepakuliwa mara 399 | Umetazamwa mara 1,977
Download Nota Download MidiKIITIKIO:
Bwana Yesu anatualika tukampokee (sisi) twendeni wote
[ tupate uzima wa milele ]*2
MAIMBILIZI:
1: Kwa upendo wake yeye amejitoa kwetu kuwa chakula cha uzima.
2: Wana heri wale wote waliojiandaa kumpokea bwana Yesu kristu.
3: Ndani yake Yesu kristu kuna uzima, uzima huo ni wa milele yote.