Mtunzi: Nikodemus Mwendima
> Tazama Nyimbo nyingine za Nikodemus Mwendima
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Joseph Isaya Mwakapila
Umepakuliwa mara 2,193 | Umetazamwa mara 5,791
Download NotaBwana Yesu nakupenda nakuomba Ee Bwana uje moyoni mwangu ili mimi na wewe Bwana tusiachane x2
1. Naja kwako Bwana kupokea mwili na damu yako usiniache kunipatia utakaso mimi mdhaifu nipokee
2. Mwisho wa muovu ni motoni ewe ndugu wajua mkimbilie Bwana Yesu atakufanya motto wa Mungu milele yote
3. Imba ee ndugu cheza kinanda zeze na kinubi filimbi matari malimba ngoma na vigelegele umsifu Bwana ungali hai
4. Nitamtumikia Bwana siku za ujana wangu mwanadamu ni nini hata muovu kwa msaamda wa Yesu nitaweza