Ingia / Jisajili

BWANA YESU NI CHAKULA

Mtunzi: George Ngonyani
> Mfahamu Zaidi George Ngonyani
> Tazama Nyimbo nyingine za George Ngonyani

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Juma Kuu | Shukrani

Umepakiwa na: George Ngonyani

Umepakuliwa mara 638 | Umetazamwa mara 1,176

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Bwana Yesu, Wewe ni Chakula kweli wewe ni Kinywaji Kweli, Njoo kwetu Moyoni Bwana Njoo Utushibishe. MASHAIRI 1.Utushibishe kwa Mwili wako, Njoo Bwana Yesu Utushibishe kwa Damu yako. 2.Wewe ni Mwanga wetu angaza Nyoyo zetu,tupe Nguvu Bwana tukufuate kiaminifu. 3.Wewe ni njia ya Uwingu Utuongoze Tufike Uliko tuishi na wewe milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa