Mtunzi: Rev. Fr. S. Mutajwaha
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Vusile Silonda
Umepakuliwa mara 7,153 | Umetazamwa mara 12,646
Download Nota Download MidiFR. S. MUTAJWAHA.
1. Bwana Yesu waniita niwe wako, niwe wako Bwana Yesu siku zote.
Niwe wako Bwana Yesu (Bwana Yesu) siku zote! Niwe wako Bwana Yesu siku zote x 2
2. Ndiyo Bwana, naitika, na wito wako: Niwe wako Bwana Yesu siku zote
3. Nafurahi, kusikia, waniita: Niwe wako Bwana Yesu siku zote
4. Nimekuja, wala nyuma, sigeuki: Niwe wako Bwana Yesu siku zote
5. Nena Bwana, mtumishio, asikia: Niwe wako Bwana Yesu siku zote
6. Na ahidi, mapenziyo, kutimiza: Niwe wako Bwana Yesu siku zote
7. Niongoze, nionyeshe, njia bora: Niwe wako Bwana Yesu siku zote
8. Nipokee, leo kesho, na daima: Niwe wako Bwana Yesu siku zote