Ingia / Jisajili

Bwana Yu Karibu Na Wote

Mtunzi: Karoly Tumaini
> Mfahamu Zaidi Karoly Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Karoly Tumaini

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Karoly Tumaini

Umepakuliwa mara 19 | Umetazamwa mara 24

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Koiitikio Bwana yu karibu na wote wamwitao x2 yu karibu na wote wamwitao,kwa uaminifu kwa uaminifu x2 Mashairi. 1.Kila siku nitakuhimidi ,nitalisifu jina lako,nitalisifu jina lako milele na milele. 2.Bwana ana fadhili ni mwingi wa huruma,si mwepesi wa hasira pia ni mwingi wa rehema wa rehema. 3.Bwana ni mwenye haki,katika kazi zakena mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa