Ingia / Jisajili

Bwana Yu Karibu na Wote Wamwitao

Maneno ya wimbo
Kiitikio. Bwana Yu karibu na Wote wamwitao. 1. Kila Siku nitakuhimidi, nitalisifu jina lako milele na milele, Bwana ndiye mkuu mwenye Kusifiwa Sana, Wala ukuu wake hautambulikani. 2. Bwana anafadhili, Ni Mwingi wa Huruma, si mwepesi wa hasira, Ni Mwingi wa rehema, Bwana Ni mwema kwa watu Wote, na rehema zake Zi juu ya kazi zake note. 3. Bwana Ni mwenye haki katika njia zake note, na mweny Fadhili juu ya kazi zake zote, Bwana Yu karibu na Wote wamwitao, Wote wamwitao kwa uaminifi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa