Ingia / Jisajili

Bwana Yu Karibu na Wote Wamwitao

Mtunzi: Melchoir Kavishe
> Mfahamu Zaidi Melchoir Kavishe
> Tazama Nyimbo nyingine za Melchoir Kavishe

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Melchiori B. Kavishe

Umepakuliwa mara 1,279 | Umetazamwa mara 2,830

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio. Bwana Yu karibu na Wote wamwitao. 1. Kila Siku nitakuhimidi, nitalisifu jina lako milele na milele, Bwana ndiye mkuu mwenye Kusifiwa Sana, Wala ukuu wake hautambulikani. 2. Bwana anafadhili, Ni Mwingi wa Huruma, si mwepesi wa hasira, Ni Mwingi wa rehema, Bwana Ni mwema kwa watu Wote, na rehema zake Zi juu ya kazi zake zote. 3. Bwana Ni mwenye haki katika njia zake zote, na mwenye Fadhili juu ya kazi zake zote, Bwana Yu karibu na Wote wamwitao, Wote wamwitao kwa uaminifi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa