Mtunzi: Pascal F. Mgasa
> Mfahamu Zaidi Pascal F. Mgasa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 446 | Umetazamwa mara 1,633
Download Nota Download MidiCHAKULA CHA MBINGU
Chakula cha Mbingu sasa tayari twendeni wote tukale chakula cha uzima ...x2
1. Twendeni waumini tukale chakula cha uzima wa milele.
2. Bwana ametualika twende mezani ametuandalia karamuye
3. Kwanza tujitakase ndipo tujongee tule karamuye tukiwa safi
4. Mwili wa Bwana Yesu ni chakula kweli Damu yake ni kinywaji cha Roho.