Mtunzi: Frolens Sangu
> Mfahamu Zaidi Frolens Sangu
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gabriel Kapungu
Umepakuliwa mara 511 | Umetazamwa mara 1,645
Download Nota Download MidiCHAKULA CHA ROHO
Chakula cha Roho kimekwisha andaliwa twendeni, tule turutubishe Roho zetu. Jitafakari kwanza kabla ya kujongea Meza, ndipo uijongee Meza yake.
1: Jiulize Moyoni mwako kama unastahili, kuijongea Meza yake Takatifu.
2: Mwili wake na Damu yake ni chakula Bora, wenye Mioyo safi Twende tushiliki.
3: Fanya kitubio Moyoni mwako upate heri, ndipo umkaribishe Bwana Yesu.