Mtunzi: Nesphory Charles
> Tazama Nyimbo nyingine za Nesphory Charles
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 2,288 | Umetazamwa mara 5,882
Download Nota Download MidiSasa chakula kiko tayari mezani pake Bwana ameandaa x2
Ni heri kwetu sisi tuliyoalikwa kushiriki meza yake Bwana kula mwili wake kunywa kikombe cha damu yake x2
Sasa chakula kiko tayari mezani pake Bwana ameandaa
1. Meza ya Bwana iko tayari, twende tukale chakula cha mbingu
Ni mwili wake a damu yake, tutapata heri ya mbingu
2. Tujitakase kabla ya kwenda mezani pake kwenye karamuye
Kwa maana mezani pake wanajongea walotakaswa
3. Tunapokula mwili wa Bwana na kunywa damu yake Bwana tutakaa naye daima