Mtunzi: Michael Viano Mkristo
> Mfahamu Zaidi Michael Viano Mkristo
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Viano Mkristo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Arone Mmbaga
Umepakuliwa mara 328 | Umetazamwa mara 1,461
Download NotaKIITIKIO: YESU KRISTO NDIYE CHAKULA CHA UZIMA KILICHOSHUKA KUTOKA MBINGUNI MTU AKILA CHAKULA HIKI CHENYE UZIMA ATAISHI MILELE
1.Yeye aulaye mwili wake Yesu na kuinywa damu yake Yesu huyo hukaa ndani ya Yesu na Yesu hukaa ndani yake.
2.Chakula toka mbinguni kwamba mtu akile wala asife yeye akilaye chakula hiki ataishi milele.