Ingia / Jisajili

Chakula Kitamu

Mtunzi: Mathayo Mussa Masasila
> Mfahamu Zaidi Mathayo Mussa Masasila
> Tazama Nyimbo nyingine za Mathayo Mussa Masasila

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Mathayo Mussa

Umepakuliwa mara 160 | Umetazamwa mara 329

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Chakula kitamu Toka mbinguni kinywaji kitamu Toka mbinguni,Yesu mwenyewe aliye kiandaa chakula hiki kwa wanyofu wa moyo nimwili wake twendeni tukale, ni damu yake twendeni tukanywe(Chakula kitamu Toka mbinguni , kinywaji kitamu Toka mbinguni).1.Yesu mwenyewe ameshuka kwaajili yetu sisi katika maumbo ya mkate pia na divai twende tukampokee Yesu mwenyewe 2.onapendo lake pendo kubwa kwetu sisi wanadamu katoa uzima wetu yeye kufa msalabani twende tukampokee Yesu mwenyewe.

Maoni - Toa Maoni

David Louis Benedict Aug 12, 2022
Inapendeza sana

Toa Maoni yako hapa