Mtunzi: Shanel Komba
> Mfahamu Zaidi Shanel Komba
> Tazama Nyimbo nyingine za Shanel Komba
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Moyo Mtakatifu wa Yesu
Umepakiwa na: Shanel Komba
Umepakuliwa mara 2,180 | Umetazamwa mara 7,604
Download Nota Download MidiDamu ya Yesu Damu takatifu tuiabudu na kuiiheshimu x2
1. Damu ya Yesu Damu takatifu itupatie wokovu
2. Damu na maji ubavuni mwake vitu takase daima
3. Damu ya Yesu iliyomwagika ituondolee dhambi
4. Damu ya Yesu fumbo la Imani itupatie uzima