Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 361 | Umetazamwa mara 1,738
Download Nota Download MidiDONDOKENI ENYI MBINGU (B)
Dondokeni dondokeni enyi Mbingu dondokeni toka juu, ma-wingi mawingu na yamwage mwenye haki, Mbingu ifunuke ili imtoe Mwokozi ...x 2
1. Nchi ifunike ili imtoe ifunuke ili imtoe mwokozi.
2. Bwana ameiridhia Nchi yake, amewalegeza mateka wa Yakobo
3. Ameusamehe uovu wa watu, amezisitiri zisitiri hatia zake.
4. Umeiondoa ghadhabu yako, umerudia na kuacha ukali wa hasira.