Mtunzi: George Mpuya
> Mfahamu Zaidi George Mpuya
> Tazama Nyimbo nyingine za George Mpuya
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 482 | Umetazamwa mara 1,759
Download Nota Download Midi(Dondokeni enyi mbingu toka juu), Dondokeni enyi mbingu toka juu x2 {Mawingu, mawingu mawingu ya mmwage mwenye haki x2}
1.Nchi ifunuke, ifunuke na kumtoa Mwokozi.
2.Bwana ameiridhia Nchi yake amewarejeza mateka wa Sayuni.