Mtunzi: Ezekiel mwalongo
> Mfahamu Zaidi Ezekiel mwalongo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ezekiel mwalongo
Makundi Nyimbo: Majilio | Mwanzo
Umepakiwa na: Ezekiel Mwalongo
Umepakuliwa mara 39 | Umetazamwa mara 47
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka C
Dondokeni Enyi Mbingu toka juu nawawingu nayamwage mwenye haki
1.Nchi ifunuke nakumtoa mwokozi, kumtoa Mwokozi
2.Nchi ifunuke ilikutoa wokovu, nayo itoe haki