Mtunzi: Jonas Kisinini
> Mfahamu Zaidi Jonas Kisinini
> Tazama Nyimbo nyingine za Jonas Kisinini
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Jonas Kisinini
Umepakuliwa mara 676 | Umetazamwa mara 2,915
Download Nota Download MidiDondokeni enyi mbingu toka juu mawingu na yammwage menye haki , nchi ifunuke na kumtoa mwokozi.
SHAIRI
Nayo itoe haki ikamee pamoja , mimi Bwana nimeiumba.