Ingia / Jisajili

Dondokeni Enyi Mbingu

Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: Albert Maneno

Umepakuliwa mara 654 | Umetazamwa mara 1,739

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Dondokeni enyi Mbingu toka juu, mawingu na yammwage mwenye haki, nchi ifunuke na kumtoa mwokozi. (Isaya 45:8)


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa