Ingia / Jisajili

DUNIA SHANGWE

Mtunzi: Frt. Arone Mmbaga
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Arone Mmbaga

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Arone Mmbaga

Umepakuliwa mara 626 | Umetazamwa mara 1,842

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Bwana Yesu Kafufuka twimbe Aleluya (kweli),Kashinda mauti kafufuka twimbe Aleluya. Dunia shangwe ae Mbinguni shangwe. Kafufuka Bwana Yesu tushangilie. Mashairi 1.Kaburi liko wazi kafufuka, mauti kayashinda kafufuka.Kafufuka mshindi ni mwana wa Mungu 2.Watesi wake Yesu washangaa. Ila kwa wafuasi ni furaha. Kafufuka mshindi ni mwana wa Mungu 3.Wapendwa wote njoni tufurahi. Tumekombolewa- tufurahi. Tumepata neema ya ufufuko.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa