Mtunzi: Fr. Amadeus Kauki
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Amadeus Kauki
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Zaburi
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 8,403 | Umetazamwa mara 15,289
Download Nota Download MidiFR. AMEDEUS KAUKI, OFMCAP
RHOTIA PARISH
15.03.2013
Ee Baba mikononi mwako naiweka roho yangu x 2
1. Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike milele kwa haki yako uniponye uniokoe
2. Kwasababu yao watesi wangu nimekuwa laumu kwao jirani zangu na kitisho kwa marafiki
3. Nimesahauliwa kama mfu nimekua kama chombo kilichovunjika hofu zanizunguka kote
4. Lakini nakutumaini Bwana nimesema ndiwe Mungu wangu uniponye na adui wanifuatao