Mtunzi: M.d. Matonange
> Tazama Nyimbo nyingine za M.d. Matonange
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Michael Kiduta
Umepakuliwa mara 947 | Umetazamwa mara 2,877
Download Nota Download MidiEe Baba tunaleta vipaji wanao tunaleta vipaji tunaleta vipaji vyetu (tunaleta kwa unyenyekevu mikononi mwake padri tunaomba upokee)x2
1.Mkate divai mazao ya mashamba yetu tunaleta kwako tunaomba uvipokee mikononi mwake padri tunaomba upokee
2.Tunaleta fedha kutoka mifukoni mwetu tunaleta kwako tunaomba uzipokee mikononi mwake padri tunaomba upokee
3. Utukuzwe Mungu Mungu uliye mwumba wetu, utukuzwe Mungu mwana na roho mtakatifu litukuzwe jina lako milele na milele