Ingia / Jisajili

Ee Bwana Fadhili Zako

Mtunzi: Lyimo Godfrey
> Mfahamu Zaidi Lyimo Godfrey
> Tazama Nyimbo nyingine za Lyimo Godfrey

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Godfrey Lyimo

Umepakuliwa mara 34 | Umetazamwa mara 70

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE BWANA FADHILI ZAKO (By Frt Godfrey Lyimo) Ee Bwana Fadhili zako, (Ewe) Ee Bwana (ni) fadhili zako x2 nitaziimba (Bwana) nitaziimba (nita-taziimba) nitaziimba, nitaziimba milele x2 1. maana nimesema fadhili zitajengwa milele, katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako. 2. Kwa kinywa changu mimi niitavijulisha vizazi, vizazi vyote uaminifu uaminifu wako. 3. Mbingu ni mali yako na nchi pia ni mali yako,, na ulimwengu na vyote vijazavyo ni mali yako pia. 4. Ni heri watu wale waijuao sauti yake, sauti yake wao wataenenda katika nuru yake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa