Ingia / Jisajili

Ee Bwana Fadhili Zako Ni Za Milele

Mtunzi: Deus nyahinga
> Mfahamu Zaidi Deus nyahinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Deus nyahinga

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Emmanuel Boniphace

Umepakuliwa mara 16 | Umetazamwa mara 35

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 21 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana fadhili zako ni za milele usiziache kazi za mikono yako. 1. Nitakushukuru kwa moyo wangu wote mbele ya miungu nitakuomba zaburi nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu. 2. Nitarishukuru jina lako kwa ajili ya fadhili zako nauaminifu wako kwa maan aumeikuza ahadi yako kuliko jina lako lolote siku Ile niliyokuita uliniitikia ukanifariji nafsi yangu kwa kunitia nguvu 3. Ingawa Bwana Yuko juu a mwona mnyenyekevu naye anamjua mwenye kujivuna Tokea mbali Ee Bwana fadhili zako ni za milele usiziache kazi za mikono yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa