Mtunzi: Sekwao Lrn
> Mfahamu Zaidi Sekwao Lrn
> Tazama Nyimbo nyingine za Sekwao Lrn
Makundi Nyimbo: Misa | Mwanzo
Umepakiwa na: Gasper Method Tungaraza
Umepakuliwa mara 614 | Umetazamwa mara 1,927
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 5 Mwaka C
EE BWANA MBELE YA MIUNGU
(Ee Bwana mbele ya miungu nitakuimbia zaburi)X2
Mashairi.
1. Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
2. Ee Bwana wafalme wote wa dunia, watakushukuru watakaposikia maneno yako.