Mtunzi: Lucas. B. Bukomba
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alfred Marikani
Umepakuliwa mara 2,528 | Umetazamwa mara 5,764
Download Nota Download MidiEe Bwana mimi nitakusifu (Lucas B. Bukome)
Ee Bwana mimi nitakusifu mimi nitakusifu mimi nitakusifu (Bwana ii) mimi nitakusifu mimi nitakusifu mimi nitakusifu ×2 Nitaimba siku zote (zote nitaimba iv) nitaimba na kulitangaza jina lako milele yote ×2
1. Nitashangilia na kufurahia fadhili zako maana wewe ni mwamba wa wokovu wangu
2. Wewe ndiwe nuru yangu na ngome yangu na uzima wangu nitakusifu milele milele amina.