Mtunzi: Thomas E. Mtindo
> Mfahamu Zaidi Thomas E. Mtindo
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,450 | Umetazamwa mara 3,554
Download Nota Download MidiEe Bwana Mungu wetu utuokoe, utukusanye kwa kututoa katika Mataifa x 2:
Mashairi:
1. Tulishukuru Jina lako Takatifu tuzifanyie shangwe sifa zako.
2.Tumetenda dhambi pamoja na Baba zetu, tumetenda maovu tumefanya ubaya.