Ingia / Jisajili

Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe

Mtunzi: Stephen Kagama
> Mfahamu Zaidi Stephen Kagama
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Kagama

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Stephen Kagama

Umepakuliwa mara 150 | Umetazamwa mara 250

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 4 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 4 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana Mungu wetu utuokoe, utukusanye kwa kututoa katika mataifa, katika mataifa. 1.Tulishukuru jina lako takatifu, tuzifanyie shangwe sifa zako sifa zako. 2.Na ahimidiwe Bwana Mungu wa Israeli, tangu milele hata milele tangu milele hata milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa