Ingia / Jisajili

Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe

Mtunzi: Innocent 'a' Samo
> Mfahamu Zaidi Innocent 'a' Samo
> Tazama Nyimbo nyingine za Innocent 'a' Samo

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Innocent Samo

Umepakuliwa mara 245 | Umetazamwa mara 889

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Ee Bwana Mungu we-tu, utuokoe utukusanye kwa kututoa ka-tika, katika mataifa, tulishukuru jina lako takatifu, tuzifanyie shange (sifa) shangwe sifa zako

1.Na ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli, tangu milele yote ha-ta- na milele

2.Watu wote na wa-seme, A-mi-na aleluya, watu wote na waseme amina aleluya.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa