Ingia / Jisajili

Ee Bwana Nakuinulia Nafsi

Mtunzi: Finian Kisinga
> Mfahamu Zaidi Finian Kisinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Finian Kisinga

Makundi Nyimbo: Majilio | Mwanzo

Umepakiwa na: Finian Kisinga

Umepakuliwa mara 34 | Umetazamwa mara 58

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 1 ya Majilio Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana nakuinulia nafsi yangu ee Mungu wangu nimekutumainia wewe nisiaibike adui zangu wasifurahi kwa kunishinda. Naam wakungojao hawata aibika hata mmoja.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa