Mtunzi: Chelestino Jeremia Mnyipembe
> Mfahamu Zaidi Chelestino Jeremia Mnyipembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Chelestino Jeremia Mnyipembe
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 778 | Umetazamwa mara 1,706
Download Nota Download MidiEe Bwana(Ee Bwana) ninakuinulia nafsi yangu (Ee Mungu) wangu nimekutumaini wewe nisiaibike x2
1; Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda naam wakungojao hawataaibika hata hata mmoja