Ingia / Jisajili

Ee Bwana Nakuinulia Nafsi Yangu

Mtunzi: Beatus Manota Idama
> Mfahamu Zaidi Beatus Manota Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus Manota Idama

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 25 | Umetazamwa mara 20

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo

EE BWANA NAKUINULIA NAFSI YANGU

Ee Bwana (ee Bwana) nakuinulia (nakuinulia, nakuinulia) nakuinulia nafsi (nafsi) yangu x2

1. Ee Bwana unijulishe njia zako, Unifundishe mapito yako, Uniongoze katika kwli yako, Na kunifundisha.

2. Bwana yu mwema na mwenye adili, Kwa hiyo atawafundisha wenye dhambi njia, Wenye upole atawaongoza katika hukumu, Wenye upole atawafundisha njia yake.

3. Njia zote za Bwana ni fadhili na kweli, Kwao walishikao agano lake na shuhuda zake, Siri ya Bwana iko kwao wamchao, Naye atawajulisha agano lake.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa